Kwa mtazamo wa haraka wakati vituo vimafungwa Max Sports imegundua ule usemi 'Tanzania ni kisiwa cha Amani' ni habari ya ukweli...Watanzania wamejitokeza kwa wingi sana toka alfajiri sana na wameweza kutumia haki yao ya msingi ya kupiga kura kwa amani...
Max Sports inawaombea watanzania tuendeleze kudumisha amani na pia tumechagua viongozi bora na wanaopenda maendeleo ya michezo...Amani itawale kwa maendeleo ya wote!
0 Yorumlar